Wana pesa zao… Ni mastaa… Video ya makazi mapya ya Jay Z na familia yake
Wenyewe wanamuita ‘Hiphop mogul’, Shawn Corey Carter a.k.a Jay Z na familia yake inayowajumuisha staa mtoto Blue Ivy na mkewe Beyonce huenda bata la Christmas December hii wakala ndani ya Jumba hili jipya maeneo ya Beverly Hills, Marekani.
Tazama video ya jumba hilo hapa.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia kumekucha blog
No comments:
Post a Comment