Unadhani Selena Gomez anaumizwa? Jicho lake linawatazama Bieber na Hailey Baldwin
Licha ya kila mmoja kuridhika na kuvunjika kwa mapenzi yao lakini bado babygirl wa zamani wa Justin Bieber kuna dalili za maumivu anayoyapata akiushuhudia ukaribu wa Bieber na mwanadada Hailey Baldwin na kumfanya ex wake kukosa raha.
Licha ya Selena kushindwa kumtamkia Bieber kuwa bado anampenda lakini inasemekana ameonekana kuumizwa na kuachana kwao kwa kiasi kikubwa.
Selena ana mpango wa kwenda kupumzika katika mji wa Texas
na familia yake lakini amekuwa akiwaza ni jinsi gani atafurahia kipindi
hiki cha sikukuu kutokana na kuachana kwao huku mwenzake huyo
akionekana kutojali na kuwa ‘busy‘ na Hailey.
Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia, kumekucha blog
No comments:
Post a Comment