Mtaani anapendeza sana… Unajua chumbani kwake anakuacha kukiwa na hali gani?
Kuna watu wengi ambao huwa wanapata tabu
wakati wa kufanya maamuzi juu ya mavazi ya kuvaa wakati wa kutoka,
huenda wewe ukawa mmoja wao lakini ishu ni kwamba je mpaka unapotoka
ndani ya chumba chako, kinakuwa na mwonekano gani?
Sasa mama mzazi wa North, staa Kim Kadarshian kumbe ana tabu pia ya kufanya uchaguzi wa nguo ya kuvaa anapotoka ndani ya nyumba yake!
Kashare na sisi picha ya jinsi chumba chake kinavyoonekana wakati akiwa anachagua nguo ya kuvaa.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia, kumekucha blog
No comments:
Post a Comment