Hekaheka ya leo December 18 iko hapa, ni muendelezo wa ile ya bwana harusi aliyepatwa mauzauza Tanga
Hekaheka ya leo December 18 inatokana na ya December 11 ambapo ilikuwa
inatoka Tanga ambapo jamaa mmoja mwenyeji wa Tabora alikwenda huko kwa
lengo la kuoa na baada ya hapo akakutana na mauzauza ambapo watu
walikuwa wakimchukua na kumpeleka sehemu mbalimbali huku wakitaka
kumkata ulimi.
Mara ya mwisho jamaa huyo kusikika siku
hiyo alikuwa hana hali nzuri kutokana na kujisikia kuumwa, leo amesikika
tena ambapo amesema kuwa watu hao walimchukua, tena safari hii ndugu wa
mkewe walishuhudia akichukuliwa katika mazingira yaleyale ya ajabu,
anasema waliomchukua wamemwambia kwamba eti hakupiga hodi wakati
anaingia Tanga kwa ajili ya kuoa.
Hali yake bad
No comments:
Post a Comment