Saturday, December 13, 2014

CHALSEA YAZIDI KUCHANJA MBUGA

Chelsea wamecheza na Hull City jana, matokeo yalikuaje? Ingia hapa


EPL: Chelsea wamecheza na Hull City jana, matokeo yalikuaje? Ingia hapa

IMG_9811.PNG
Baada ya kuanza msimu bila kufungwa, kabla ya Newcastle United kuvunja rekodi yao wiki iliyopita kwa kuifunga 2-1, sasa jana Jose Mourinho aliingiza timu yake uwanjani kucheza dhidi ya Hull City.
Katika mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa nyumbani wa Chelsea – Stamford Bridge umemalizika kwa ushindi mwingine kwa watoto wa tajiri Roman Abramovich.
Eden Hazard na Diego Costa waliifungia Chelsea magoli hayo na kuihakikishia timu hiyo nafasi ya kuendelea kuongoza ligi kuu ya England.
Katika mchezo mwingine Man City imefanikiwa kupata ushindi wa 1-0 dhidi ya Leicester City.
Frank Lampard alifunga goli la ushindi

No comments:

Post a Comment