Waziri
wa Mambo ya Ndani Mh.Mathias Chikawe (watatu kutoka kulia) akikata
utepe kuashiria uzinduzi wa kampeni ya usalama barabarani uliofanyika
eneo la Mwenge makutano ya barabara ya Sam Nujoma na Ali Hassan Mwinyi
jijini Dar es Salaam, uzinduzi huo uliambatana na upimaji wa kiwango
cha pombe mwilini kwa madereva na ugawaji wa pete maalumu za
kuwakumbusha madereva kuacha kutumia simu za mkononi wanapokuwa
wanaendesha vyombo vya moto,wanaoshuhudia ni Mkuu wa Kitengo cha
Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia,
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamanda Mohammed
Mpinga,mwenyekiti wa usalama barabarani wilaya ya Kinondoni Hua
Tluway,wapili (kushoto) na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama
Barabarani Hamza Kassongo na Henry Bantu

wa Mambo ya Ndani Mh.Mathias Chikawe (wapili kutoka kulia) Mkuu wa
Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Rosalynn
Mworia, Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamanda
Mohammed Mpinga,mwenyekiti wa usalama barabarani wilaya ya Kinondoni Hua
Tluway,wapili (kushoto) na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama
Barabarani Hamza Kassongo na Henry Bantu (kulia) wakishangilia baada ya
uzinduzi wa kampeni ya usalama barabarani uliofanyika eneo la Mwenge
makutano ya barabara ya Sam Nujoma na Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es
Salaam, uzinduzi huo uliambatana na upimaji wa kiwango cha pombe
mwilini kwa madereva na ugawaji wa pete maalumu za kuwakumbusha madereva
kuacha kutumia simu za mkononi wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto.
Waziri
wa Mambo ya Ndani Mh.Mathias Chikawe akimsikiliza kwa makini Mkuu wa
Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Rosalynn
Mworia, wakati alipokuwa akimuelezea matumizi ya pete maalumu za
kidoleni ambazo huwakumbusha madereva kuacha kutumia simu za mkononi
wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto wakati wa uzinduzi wa kampeni ya
usalama barabarani uliofanyika eneo la Mwenge makutano ya barabara ya
Sam Nujoma na Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam, uzinduzi huo
uliambatana na upimaji wa kiwango cha pombe mwilini kwa madereva Kushoto
ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamanda Mohammed
Mpinga Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani Hamza
Kassongo na Henry M. Bantu (kulia) na Mjumbe wa baraza hilo Hamza
Kasongo.

Waziri wa Mambo ya Ndani Mh.Mathias Chikawe (kushoto) akimuonyesha dereva
wa pikipiki pete zenye ujumbe wa “Wait to Send” wakati wa uzinduzi wa
kampeni ya usalama barabarani uliofanyika eneo la Mwenge makutano ya
barabara ya Sam Nujoma na Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam,
uzinduzi huo uliambatana na upimaji wa kiwango cha pombe mwilini kwa
madereva na ugawaji wa pete maalumu za kuwakumbusha madereva kuacha
kutumia simu za mkononi wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto.wengine
wanaoshuhudia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa
Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia na Mkuu wa Kikosi cha Usalama
Barabarani Tanzania, Kamanda Mohammed Mpinga
Waziri
wa Mambo ya Ndani Mh.Mathias Chikawe (kushoto) akishuhudia dereva wa
pikipiki akivalishwa pete zenye ujumbe wa “Wait to Send”
wakati wa uzinduzi wa kampeni ya usalama barabarani uliofanyika eneo
la Mwenge makutano ya barabara ya Sam Nujoma na Ali Hassan Mwinyi
jijini Dar es Salaam, uzinduzi huo uliambatana na upimaji wa kiwango
cha pombe mwilini kwa madereva na ugawaji wa pete maalumu za
kuwakumbusha madereva kuacha kutumia simu za mkononi wanapokuwa
wanaendesha vyombo vya moto.wengine wanaoshuhudia ni Mkuu wa Kitengo cha
Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia na
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamanda Mohammed Mpinga

Mkuu
wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamanda Mohammed Mpinga
akijadiliana jambo na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa
Umma wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia wakati wa uzinduzi wa kampeni
ya usalama barabarani iliyozindiliwa na Waziri wa Mambo ya
Ndani Mh.Mathias Chikawe katika eneo la Mwenge makutano ya barabara ya
Sam Nujoma na Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam leo, uzinduzi huo
uliambatana na upimaji wa kiwango cha pombe mwilini kwa madereva na
ugawaji wa pete maalumu za kuwakumbusha madereva kuacha kutumia simu za
mkononi wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto.
TIMU ya soka ya mkoa wa Simiyu imeanza vibaya
mashindano ya Copa-Coca-Cola ngazi ya taifa baada ya kupokea kipigo cha mabao
3-1 kutoka kwa vijana wa Mkoa wa Kigoma kwenye mchezo wa ufunguzi uliochezwa
katika uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam jana.
Kigoma walipata bao la kwanza mapema kwenye dakika
ya nane kupitia kwa Juma Swalehe, huku Juma Zuberi akiongeza bao la pili dakika
ya 30 na Idrisa Akilimali alihitimisha karamu ya mabao kwa Kigoma kwa kufunga
bao safi mnamo dakika ya 57, bao la kufutia machozi la Simiyu lilifungwa na
Kaluona Abdallah katika dakika ya 88 ya mchezo huo.
Michuano hiyo ilizinduliwa na Waziri wa Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Fenella Mukangara ambaye aliwashauri makocha
wa timu kutumia michuano ya Copa-Coca-Cola kama changamoto ya kuibua vipaji
vipya katika timu zao kwa wasichana na wavulana.
Mukangara aliwaasa vijana kuhakikisha wanajituma
kulitangaza taifa la Tanzania katika michuano mabalimabli ya kimataifa. “Nina furaha sana kuona wasichana
pia wakijumuishwa katika michuano hii ya Copa-Coca-Cola na pia natoa shukrani
zangu za dhati kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kwa kuhakikisha
kuwa soka la wanawake linakuwa hapa nchini”, Mukangara alisema.
Mukangara pia aliwasisitiza washiriki wote wa
michuano hiyo kuhakikisha kuwa wanazingatia nidhamu ya mchezo uwanjani. “Tuna
imani kuwa washiriki wote mtazingatia sheria za mchezo huu kama inavyagizwa na
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA)”, Aliongeza Mukangara.
Naye Meneja wa Coca-Cola nchini Yebeltal Getachew alielezea nia yao ya dhati
katika kuendeleza michuano hiyo ya Copa-Coa-Cola nchini. Wachezaji wanaofanya
vizuri katika michuano hii hupelekwa nchini Afrika Kusini kwa mafunzo zaidi.
Copa-Coca-Cola ni michuano pekee ambayo huanzia
ngazi ya chini kabisa na baadaye ngazi ya Taifa ikishirikisha mikoa yote ya
Tanzania bara pamoja na Zanzibar.
Kwa upande wake Rais wa TFF Jamal Malinzi aliwaonya
viongozi wa timu zote zinazodanganya umri na kusisitiza kuwachukulia hatua za
kinidhamu. “Katika kuonesha umakini katika michuano hii tumewaondoa wachezaji
87 kutoka katika mikoa ya Mbeya na Lindi kutokana na kudanganya umri”, Malinzi
alisisitiza.
Michuano ya Copa-Coca-Cola itafikia tamati mnamo
Desemba 20, mwaka huu, katika Uwanja wa kumbukumbu ya Karume jijini Dar es salaam.
TIMU YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO YATEMBELEA MELI YA KIHISTORIA YA MV LIEMBA
Wakaguzi
wa Miradi ya Maendeleo toka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wamepata
fursa adhimu ya kutembelea meli kongwe kupita zote nchini, MV Liemba
iliyo kwenye Ziwa Tanganyika, mkoani Kigoma.
Wakizungumza
mara walipofika katika meli hiyo baadhi ya wakaguzi hao hawakuficha
bashasha waliyokuwa nayo mara baada ya kuingia ndani ya meli hiyo kongwe
iliyo na umri zaidi ya miaka 100.
Mmoja
wa wakaguzi hao Bibi Zena Hussein, alisema kuwa anajisikia furaha sana
kuingia na kushuhudia mandhari ya meli hiyo ya kihistoria nchini
Tanzania.
“Nimefurahi
sana kufika leo hii kwenye meli hii yenye miaka zaidi ya 100, licha ya
ukongwe wake bado inaonekana imara na yenye uwezo wa kufanya kazi miaka
mingi zaidi,” alisema.
MV
Liemba ni meli ya Kitanzania inayohudumia pwani za Ziwa Tanganyika. Ni
chombo cha usafiri wa majini chenye umri mkubwa kuliko kingine chochote
nchini na kipo tangu mwaka 1914. Meli hii kama zilivyo meli ningine
inasukumwa na injini ya diseli na ina urefu wake ni mita 67, upana mita
10 na uzito wa tani 1500.
Kwa mujibu wa Nahodha wa meli hiyo, Kapteni Mathew Mwanjisi, meli hiyo ina uwezzo wa kubeba abiria 600 na tani za mizigo 200.
“Katika daraja la kwanza meli ina uwezo wa kubeba abiria 20, daraja la pili abiria 30 na daraja la tatu abiria 550,” alisema.
Meli
ya MV. Liemba inamilikiwa na Kampuni ya MSCL na kusajiliwa na Mamlaka ya
Usafiri Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) kwa namba ya usajili KP/P001.
Meli hiyo ilijengwa katika Bandari ya Kigoma mwaka 1913 na mjenzi kutoka
Ujerumani kwa ajili ya usafirishaji wa mizigo na abiria.
Mv.
Liemba ilitengenezwa nchini Ujerumani mwaka 1913 ikiwa ikiitwa kwa
Kijerumani "Graf von Goetzen" kwenye kiwanda cha meli cha Meyer huko
Papenburg.
Timu
ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango
ikiwa ndani ya MV Liemba mara walipofika kujionea mandhari ya meli hiyo
kongwe duniani.
Kiongozi
wa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya
Mipango, Bibi Florence Mwanri (Kushoto) akisaini kitabu cha wageni
ndani ya MV Liemba. Kulia ni Nahodha wa Meli hiyo, Kapteni Mathew
Mwanjisi.
Nahodha
wa MV Liemba, Kapteni Mathew Mwanjisi (Watatu kushoto) akitoa maelezo
kwa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya
Mipango.
Kiongozi
wa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya
Mipango, Bibi Florence Mwanri (Wapili Kulia) akiiongoza Timu yake
kusikiliza kwa umakini namna ya kusoma radar inayotumika ndani ya Meli
ya MV Liemba. Anayewapa maelezo ni Nahodha wa Meli hiyo, Kapteni Mathew
Mwanjisi.
Nahodha
wa Meli ya MV Liemba, Kapteni Mathew Mwanjisi (Kulia) akitoa maelezo ya
namna ya kutumia chombo cha kuokolea kwa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya
Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Wanaomsikiliza ni
Kiongozi wa Timu hiyo, Bibi Florence Mwanri (Kushoto) na Kaimu
Mkurugenzi wa Mipango na Ufuatiliaji (Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango),
Bw. Omary Abdallah.
Mhandisi
Mkuu wa Meli ya MV Liemba, Eng. Justine Joachim (Mwenye fulana nyeusi)
akiwapa maelezo Wakaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais,
Tume ya Mipango walipongia kujionea mitambo ya kuendeshea meli hiyo.
Kazi inaendelea! Watumishi wa Meli ya MV Liemba wakiendelea na kazi ya kushusha shehena ya mahindi kutoka kwenye meli hiyo.
PICHA NA SAIDI
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katka picha ya pamoja na wanachama waj Umoja
wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) katika chakula cha
jioni kilichoambatana na burdani mbalimbali kwenye ukumbi wa Kardinal
Rugambwa, Oysterbay jijini Dar es salaam, Desemba 12, 2014. Chakula
hicho kiliandaliwa ili kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya
kituo cha kulea watoto yatima cha Buhangija mkoani Shinyanga.(Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda picha ya juu akiwa katka picha ya pamoja na washiriki wa
maonyesho ya mavazi yaliyoandaliwa na Umoja wa wake wa viongozi ( New
Millenium Women Group) katika chakula cha jioni kilichoambatana na
burdani mbalimbali kwenye ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini
Dar es salaam, Desemba 12, 2014. Chakula hicho kiliandaliwa ili
kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha kulea watoto
yatima cha Buhangija mkoani Shinyanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda picha ya juuakiwa katka picha ya pamoja na washiriki wa
maonyesho ya mavazi yaliyoandaliwa na Umoja wa wake wa viongozi ( New
Millenium Women Group) katika chakula cha jioni kilichoambatana na
burdani mbalimbali kwenye ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini
Dar es salaam, Desemba 12, 2014. Chakula hicho kiliandaliwa ili
kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha kulea watoto
yatima cha Buhangija mkoani Shinyanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi
ya washiriki wa maonyesho ya mavazi yaliyoandaliwa na Umoja wa wake
wa viongozi ( New Millenium Women Group) katika chakula cha jioni
kilichoambatana na burdani mbalimbali kwenye ukumbi wa Kardinal
Rugambwa, Oysterbay jijini Dar es salaam, Desemba 12, 2014
wakijitambulisha baada ya onyesho hilo. Chakula hicho kiliandaliwa ili
kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha kulea watoto
yatima cha Buhangija mkoani Shinyanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
No comments:
Post a Comment