TANGA KUMEKUCHA
Wednesday, December 3, 2014
Kero ya maji Handeni
Wakazi wa Mkata Wilayani Handeni Mkoani Tanga, wakishusha madungu ya maji kutoka kwenye lori baada ya Wilaya hiyo kuwa na kero ya maji kwa miaka mingi, Dungu moja la maji lilikuwa liiuzwa kati ya shilingi 2,000 hadi 2,500.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment