Umesikia walichokifanya Wachina hawa Nchini Kenya? Kisome hapa
Jeshi la Polisi Kenya linawashikilia
watu 77 wenye asili ya China ambapo kundi hilo inaaminika kuwa
linajihusisha na udanganyifu wa hali ya juu katika masuala ya Internet
CID Ndegwa Muhoro amesema uchunguzi wa awali umeonyesha wanawake na
wanaume walihusika katika kutakatisha hela chafu na kuvamia Websites.
Operation iliyofanywa na Jeshi la Polisi
waligundua pia sehemu ambayo watuhumiwa hao wamekuwa wakitengeneza kadi
ndogo za ATM mashine.
Balozi wa China Nchini Kenya Liu Xianfa,
amesema aliitwa na Waziri wa Mambo ya Nje siku ya alhamisi kumhoji kama
Serikali yao inahusika na shughuli za kikundi hicho, ambacho wengi wao
hawawezi kuongee kiingereza.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia, Kumekucha blog
No comments:
Post a Comment