Wakati uhusiano wa mastaa wengi ukiyumba, hawa wamedumu kwa zaidi ya miaka 15…
Kumekuwa na story za mastaa wengi vijana
ambao uhusiano wao unayumba kila siku, kumbe wakati wengine wakiyumba
wapo ambao wanasherekea ndoa zao kudumu muda mrefu.
Mastaa wawili David Beckham na mke wake Victoria wameoana
tangu mwaka 1999, sherehe ya ndoa yao ni moja ya sherehe
zilizohudhuliwa na watu wachache zaidi ambapo wageni waalikwa walikuwa
29 tu.
Mpaka sasa mastaa hao wana watoto wanne,
mbali ya maisha yao kuwa ya kuhama hama lakini bado ndoa yao ni moja
kati ya ndoa za mastaa vijana ambazo zimedumu muda mrefu zaidi na bado
zinaonekana imara.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari
kukutumia wakati wowote kupitia kumekucha blog
No comments:
Post a Comment