Monday, December 15, 2014

MTOTO WA KIM KARDASHIAN ALIVYIJICHANGANYA NA WENZAKE

Ni North West… mtoto wa Kim Kardashian alivyojichanganya na watoto wenzake jana

totootoAwali mtoto wa mastaa Kim Kardashian na mumewe Kanye West ilikua ni ngumu kuonekana lakini sasa wazazi wa mtoto huyo wameonekana kumpa mwanao uhuru na safari hii mtoto huyo alikua akivinjari katika fukwe za Disney On Ice na watoto wenzake ambao ni binamu zake.
not
Wakati watoto hao wakifurahi pamoja jana familia hiyo iliongeza furaha baada ya Dada wa Kim Kardashian, Kortney na mumewe kujaliwa mtoto wa kiume ambaye anaongeza idadi ya familia hiyo na kufikisha watoto watatu.
North ambaye kwa sasa amefikisha miezi 17 alipelekwa kwenye fukwe hizo akiogozana na watoto wawili wa dada wa staa huyo Kortney ,ambao ni Penelope pamoja naMason pamoja na watoto qengine wa rafikiwa karibu wa familia hiyo.
kim no
North akiwa amevalia koti jeusi pamoja na suaruali ya kubana pamoja na viatu ,vyabuti rangi ya brown alionekana kufurahi na watoto wenzake huku wazazi wao wakiwaangalia.
famly
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia, kumekucha blog

No comments:

Post a Comment