Wafugaji jamii
ya Kimasai kijiji cha Kalalani Wilayani Korogwe Mkoani Tanga wakitoa
burudani wakati wa sherehe za kila mwaka za kuuwaga mwaka na kukaribisha
mwaka mpya ambapo ndani ya sherehe hizo hutolewa elimu ya kupinga
tohara kwa wanawake na mimba za utotoni.






No comments:
Post a Comment