Ile Video mpya ya A.Y aliyowashirikisha Sean Kingston na Ms.Triniti ndio hii

.
Ambwene Yessaya aka A.Y baada ya kuachia single yake mpya aliyoipa
jina ‘Touch Me’ katika vituo mbalimbali vya radio aliowashirikisha Sean
Kingston na Ms.Triniti.Leo anakupa dakika 3 kutazama video yake mpya
iliyotengezwa Marekani.
Itazame hapa
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,KUMEKUCHA BLOG
No comments:
Post a Comment