Tuesday, December 9, 2014

VITUKO VYA MASTAA

Kuna picha za mwonekano mpya wa Bieber, unajua kazifanya nini nywele zake?


Kuna picha za mwonekano mpya wa Bieber, unajua kazifanya nini nywele zake?

justin-bieber-arressted-thatgrapejuice
Hii ni kawaida kwa mastaa, unakumbuka Wayne Rooney kuotesha nywele kwenye upara wake? Leo ni Justin Bieber
Bieber ameonekana akiwa na mwonekano mpya wa nywele zake lakini haijajulikana sababu ya kubadili nywele hizo, ingawa inasemekana ameshauriwa kufanya hivyo na rafiki yake ili awe na mwonekano mpya.
Rafiki yake wa karibu amesema Bieber anafurahia mwonekano wa kuweka Blond japo fans wake walionekana kucomment wakimponda kwa kutopendezwa na mwonekano huo.
Justin-Biebers-Blonde-Hair-BellaNaija-December-2014


Justin-Biebers-Blonde-Hair-BellaNaija-December-2014001
Hakika utapata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia, KUMEKUCHA BLOG

No comments:

Post a Comment