U Heard ya leo December 18 iko hapa, unaweza kuisikiliza. Inamhusu msanii Linah.
Soudy Brown alimtafuta msanii huyo ambaye ni Linah
na kusema kuwa ni kweli ametumiwa message na rafiki zake na wasanii
wenzake kama bado anaitumia namba hiyo kwani wamekuwa wakitumiwa
message, mtu anayetuma message hizo anajifanya ni Linah na wengine anawaomba hela.
Linah amesema alibadili namba hiyo muda
mrefu na aliwahi kuwapigia simu watu wa mtandao husika wakamtaarifu
kwamba wameifunga lakini kwa sasa kuna mtu anaitumia kwa kujifanya kuwa
ni Linah
No comments:
Post a Comment