Baada ya Wolper sasa ni zamu ya staa huyu mwingine kuchora tatoo mkononi
Hitmaker wa single ya Kizunguzungu,Rachel kupitia instagram ameweka video yenye sekunde 15 ambazo zikimuonesha akichorwa tatoo mpya mkono huko London ambako alienda kwaajili ya show yake.
No comments:
Post a Comment