Thursday, December 18, 2014

MTOTO WA AISHA MADINDA ATOA TAMKO ZITO

Huu ndio ujumbe wa mtoto wa marehemu Aisha Madinda baada ya mazishi kuahirishwa


Huu ndio ujumbe wa mtoto wa marehemu Aisha Madinda baada ya mazishi kuahirishwa

.
.
Taarifa za mazishi ya mnenguaji maarufu kwenye familia ya muziki wa dansi Tanzania Aisha Mohamed Mbegu maarufu kama ‘Aisha Madinda’ zimeahishwa kutoka na upelelezi wa Polisi unaoendelea juu ya kifo cha marehemu.
Feysal Madinda ambaye ni mtoto wa marehemu Dec 18 amepost ujumbe kwenye instagram na kuandika taarifa za kuahirishwa kwa mazishi ya mama yake Aisha Madinda ikiwemo na siku atakayozikwa endapo upelelezi utakapokamilika.

No comments:

Post a Comment