Wednesday, December 10, 2014

PIGA VITA UKATILI WA KIJINSIA, PAMOJA TUNAWEZA

  Afisa mradi wa Asasi ya Kiraia ya Tree of Hope, Goodluck Malilo wakitoa elimu ya kuzuia vitendo vya ukatili wa kijinsia kata ya Maweni Tanga  wakati wa kuadhimisha siku 16 za kupiga vita unyanyasaji wa kijinsi sambamba na kampeni  ya Tunaweza iliyolenga kusajili wanabadiliko wanaume kwa wanawake watakaokuwa mstari wa m,bele kukemea na kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia.




 Wanaharakati wa Asasi ya Kiraia Tree of Hope ya Tanga wakiwasajili wanawake na wanaume katika kampeni ya Tunaweza inalolenga kusajili kuleta mabadiliko katika kupiga vita vitendo vya ukatili wa kijinsia wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupiga vita Ukatili wa Kijinsia yaliyoadhimishwa Kichangani kata ya Maweni Tanga

No comments:

Post a Comment