Baada ya ukimya mrefu, Ray C anakualika kuisikiliza hii single yake mpya

.
Rehema Chalamila aka
Ray C baada ya ukimya wa muda mrefu kwenye tasnia ya muziki time hii amerudi rasmi na hii single mpya yake
Mshum Mshum ambayo unaweza kuisikiliza au kuidownload kwa kubonyeza hapa
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,kumekuchablog
No comments:
Post a Comment