Wednesday, December 17, 2014

KAOLE GROUP YAIBUKA KIDIZAINI

Taarifa ikufikie kwamba lile kundi la Kaole linarudi tena kwenye Tv yako, wanakuja na jina jingine


Taarifa ikufikie kwamba lile kundi la Kaole linarudi tena kwenye Tv yako, wanakuja na jina jingine

11kaoneUnaposikia jina Kaole Sanaa Group kama ulikua mfatiliaji wa michezo ya kuigiza kwenye TV ni lazima utawakumbuka kina Muhogo Mchungu, Kingwendu na wengine ambao tuliwafahamu sana miaka ya nyuma ambapo sanaa ya uigizaji ilipoanza kupata umaarufu nchini na baadaye tukashuhudia sanaa hiyo ikikimbiwa na waigizaji wote kuingia kwenye biashara ya filamu.
Sasa good news ya leo ni kwamba Kaole wameamua kurudi kazini kama kikundi lakini time hii watatumia jina jingine ambalo ni Kaone
‘…Tumeamua kujikusanya 12 na tumeamua kuanza na tamthilia yetu ya kwanza tuliyoipa jina la kipusa ambayo itakuwa ikuhusisha watoto wadogo lakini zaidi itakua ikihusisha mambo ya kisiasa…– Thea.
14kaone
13kaone
12kaone
11kaone
10kaone
8kaone
7kaone
1kaone

Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia kumekucha blog

No comments:

Post a Comment