Friday, December 12, 2014

ROMA MKATOLIKI ATOA SINGLE MPYA

Hii ndio single mpya ya Roma Mkatoliki iliyotoka Des 12


Hii ndio single mpya ya Roma Mkatoliki iliyotoka Des 12

.
.
Huu ni wimbo wa Roma ambao Teaser yake ilianza kuonekana wiki hii kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii,jina la wimbo  Mwanakondoo,amewashirikisha Stamina  & Water Chilambo na Maunda Zorro
Isikilize>>>> HAPA
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia, kumekucha blog

No comments:

Post a Comment