Video 10 za Africa zinazotamba kwenye Top 10 ya Trace TV ikiwemo aliyoshirikishwa Diamond
kwa mara nyingine tunajiunga na kituo cha TV cha kimataifa cha Trace Urban cha Ufaransa kuangalia hii top 10 yao ya nyimbo kali za Afrika wiki hii.
10.Iyanya-Finito
9.Waje ft Diamond Platnumz- Coco Baby
8.Flavour ft Wandel Coal- Wake up
7.Davido ft Dj Araphat- Naughty
6.Yemi Alade-Kissing
5.P Square-Shekini
4.Olamide ft Don Jazzy-Skelemba
3.Burna Boy-Check and Balance
2.Sarkodie ft Burna Boy,AKA -Special Someone
1.Sanko-Timaya
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia, kumekucha blog
No comments:
Post a Comment