Sasa ametangaza rasmi kustaafu soka… Na huku ndiko anakoelekea kwa sasa…
Kwa wale wapenzi wa soka Thierry Henry
sio jina geni kwao, amekuwa nyota ambaye ameng’aa kwenye mchezo huo kwa
muda mrefu sana akichezea vilabu mbalimbali ikiwemo Arsenal na
Barcelona.
Jamaa ametangaza rasmi kustaafu soka
dakika chache zilizopita na kusema kuwa kuanzia mwakani ataanza
kujishughulisha kama Balozi wa Sky Sports huku akisema kuwa anajisikia
furaha kuchezea vilabu vikubwa na pia anaamini anajiunga na kituo
kikubwa cha Television na mattarajio yake ni kuwa mchambuzi bora wa
michezo kwenye kituo hicho.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,kumekucha blog
No comments:
Post a Comment