Friday, December 12, 2014

UGONJWA WA AJABU WADAIWA KUIBUKA UGANDA

 Kuna taarifa ya ugonjwa wa ajabu uliowakumba watoto Nchini Uganda


Kuna taarifa ya ugonjwa wa ajabu uliowakumba watoto Nchini Uganda

news inscription in studio tvUgonjwa mwingine wa ajabu umeibuka Uganda, ambapo umewakumba watoto na wengine wakiripotiwa kufariki kutokana na ugonjwa huo.
Ugonjwa huo ni wa kutikisika kichwa na haujafahamika sana Duniani kitu ambacho huenda kikaweka changamoto ya kuupatia tiba na kinga ya ugonjwa huo.
Watoto wengi wanahofiwa kufariki zaidi ambapo wazazi ambao wana watoto wanaougua ugonjwa huo wamesema kuwa hata wakienda hospitali hawapati huduma yoyote ya kutibu maradhi hayo na wameiomba Serikali kufanya uchunguzi kujua sababu ya ugonjwa huo na tiba inayopaswa kutolewa.
Hapa kuna taarifa ambayo imeripotiwa na kituo cha WBS, unaweza kuisikiliza.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia kumekucha blog .

No comments:

Post a Comment