Monday, December 22, 2014

UKISHANGAA YA MUSA -----ANGALIA CHUPA YA BIA KAMA JENEZA


Hii ni mpya, Majeneza kwenye mwonekano wa chupa za vinywaji mbalimbali


Hii ni mpya, Majeneza kwenye mwonekano wa chupa za vinywaji mbalimbali
Beer_bottlesKama ilivyo kawaida kumekucha blog huwa haiachi kitu ndio maana naendelea kuitimiza ile ahadi ya kushare na wewe  kila story inayonifikia, ya leo no moja ya zile za kushangaza na kufurahisha katika kubwa tulizowahi kuzisikia ndani ya 2014.
Ulishawahi kufikiria kwamba kuna mtu atakuja kufanya design ya majeneza tofauti na tuliyozoea kuyaona?
Moja ya kipekee ilikuwa kutoka Kenya, ambapo lilitengenezwa jeneza kwa muundo wa kiti cha kukalia, ya leo iko tofauti.
Hii inatoka Ghana, jamaa wameunda majeneza haya kwa muundo wa chumba ya pombe na vinywaji mbalimbali, gharama yake unaambiwa ni kama dola 1,000 kila moja.
Wataalamu walioyaunda wamesema kwa wapenzi wa kinywaji husika anaweza kujichagulia aina ya jeneza ambayo angependezwa kuzikwa ndani yake.
clbu
Coffins-from-Ghana-7
img_1379
N-Cercueil9-Teaser
TAB-fantasy-coffin
Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,kumekucha blog

No comments:

Post a Comment