Monday, December 15, 2014

WATUMIAJI WA MISHUMAA MAJUMBANI KUWENI MAKINI

Tuwe makini na mishumaa ya birthday na harusini mtu wangu, mtu kaungua hivihivi


Tuwe makini na mishumaa ya birthday na harusini mtu wangu, mtu kaungua hivihivi

nyweleHii imetokea kwenye ardhi ya Obama ambapo mwanamke Shelley Meyer amejikuta kwenye huzuni ndani ya sherehe yake ya siku ya kuzaliwa baada ya nywele zake kushika moto wakati akizima mishumaa ya keki yake.
Mumewe ambaye ni kocha wa mpira wa miguu aliamua kumshangaza mkewe kwa kumfanyia sherehe hiyo ambayo baada ya tukio hilo ilibidi akimbizwe hospitali.
Wanasema wakati nywele zake zikiungua mtoto wake wa kike Nicki Meyer alikua akimpiga picha badala ya kumsaidia ambapo hii sio mara ya kwanza kutokea kwa tukio kama hili, ajali za moto kwenye sherehe zimekua zikiripotiwa kwenye sherehe mbalimbali kama vile harusi kama inavyoonekana kwenye hizi video hapa chini.

No comments:

Post a Comment