Wafanyabiashara wa mbogamboga na matunda mji mdogo wa Mombo Wilayani Korogwe Mkoani Tanga wakiwauzia wateja. Wafanyabiashara hao wamekuwa wakilalamika kukosa soko la uhakika la kuuzia matunda yao na hivyo kudai kilimo hicho kinawaingizia hasara na ni vyema kukiacha
No comments:
Post a Comment