Wachuuzi wa samaki bandari ya Sahare Tanga
wakichambua dagaa. Ndoo mojo ya dagaa aina ya uwono na parawe ulikuwa ukiuzwa
kwa shilingi 8,000.
Wachuuzi wa samaki bandari ya Sahare Tanga wakitoka
kununua samaki katika madau. Wachuuzi hao hufuata samaki ndani ya maji mara baada
ya wavuvi kutia nanga kuepuka kulanguliwa na madali bandarini.
No comments:
Post a Comment