Wastara kapata ajali? kaweka hii picha na maelezo haya ya zaidi ya maneno 100
Ni
April 20 2015 mwigizaji Wastara anaandika maneno zaidi ya 100 na
kuambatanisha na picha kuthibitisha kuhusu ajali aliyoipata japo
hajaandika kwa undani zaidi kuhusu ajali yenyewe.
Wastara baada ya kuweka hii picha haya ndio maelezo aliyoyatoa >>>‘DUA
ZENU MUHIMU SANA KWA MBAO MNAONIPENDA NA MSIONIPENDA……hali hii
imenichosha sana ya matukio ya ajali kila mara natamani kuwa na amani na
maisha yangu couz mungu ana sababu kuniacha niendelee kupumua mpaka
leo’
Kwenye sentensi ya pili amesema >>> ‘Ila
kwa wanaochukia kuona napumua wanatamani nizikwe hata mzima ila mtambue
nina watoto watatu wananitegemea kwa kila kitu sometime mnasema
nasikitika sana ni kweli sababu mi sio nabii nikihesabu hii ni ajali ya
ya 9 sasa tena ni mbaya sana za kufa kabsa ila labda nimo kwa wale
wanaopta ajali kipindi hiki japo kwangu ni too much,, ni jana na leo
napumua alhamdulilah duwa zenu niombeni jamani huyu jinamizi akae mbali
nami daah too much’
Hutopitwa na habari yoyote inayonifikia na niko tayari kukutumia kupitia hapa hapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment