
Mbali
na magari ya kifahari pamoja na starehe wanazozifanya mastaa hawa wa
soka duniani, pia fedha zao nyingi wamewekeza katika majumba ya
kifahari, na wengi wao wamekuwa na nyumba zaidi ya moja katika miji
tofauti Barani Ulaya.
Wengi watakubaliana na mimi kuwa nyumba
ndio kitu cha kwanza ambacho kinapwaswa kupewa kipaumbele katika
kumfanya kila mmoja kuwa huru na maisha yake ya kila siku.
Hapa kuna hizi nyumba za mastaa 1o wa soka Ulaya:-

Moja ya nyumba ya mchezaji bora wa dunia, Cristiano Ronaldo. Iko Hispania

Nyumba ya Lionel Messi
imejengwa kwa aina ya kipekee, ikiitazama kwa juu ina uwanja wa
kuchezea, ni moja ya nyumba za kifahari zilizopo kwenye mji wa Barcelona

Nyumba ya sstriker wa Barcelona, Mbrazil Neymar ipo Hispania

Hii ni nyumba ya Mshambuliaji wa PSG ya Ufaransa Zlatan Ibrahimovic, ipo katika mji wa Malmo, Sweden.

Nyumba ya staa wa 1, Wayne Rooney ipo katika visiwa vya Barbados.

Nyumba ya Ricardo Kaka ipo Spain

Nyumba ya Samuel Eto’o ipo London, Uingereza

Nyumba ya Raul Gonzalez straiker wa PSG, ipo katika mji wa Madrid, Hispania

Mjengo wa kifahari wa Ronaldinho ipo Spain

Nyumba ya kifahari ya Frank Lampard ipo London, Uingereza
No comments:
Post a Comment