Tuesday, April 21, 2015

JAMAA ALEWA CHAKARI NA KULALA KATIKATI YA BARABARA HADI ASUBUHI

Chonde chonde, ulevi noma.. Jamaa kakutwa hata hajielewi yani !!

CDCOyijVAAAZHumDon’t drink and drive..’ sawa hilo somo jamaa alilielewa sana tuu, akaenda zake kupata kinywaji ishu ikawa jinsi gani atarudi home??
Ilikuwa ni kama bahati yake tu kukutwa na gari za doria za Polisi ambao walimkuta mida ya saa kumi usiku, hajielewi.. amelewa sana alafu kalala katikati ya barabara.. hakuwa na jeraha lolote la kuumizwa wala hakugongwa, kilichomfanya aanguke katikati ya barabara ni ulevi.
Jamaa aliwaambia Polisi  kwamba alitumia usiku wote kulewa, hata hapo alipo hajui kafikaje yani..!!
Ishu imetokea New Zealand, ilibidi Polisi wambebe kumpeleka nyumbani kwake.. Polisi wamesema walevi wengi ni waathirika wa matukio ya kukabwa na kuibiwa usiku.
Drunkman ZEALAND
Hutopitwa na habri yoyote inayonifikia na niko tayari kukutumia muda na wakati wowote kupitia hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment