Pichaz za Staa wa tenis duniani kwenye headlines
Andy Murray sasa ameingia kwenye ukurasa mpya wa maisha baada ya kufanya maamuzi ya kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi Kim Sears.
Katika
harusi hiyo ya kifahari iliyofanyika nyumbani kwao Uingereza,
ilihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo wachezaji wenzake sambamba na
vyombo vya habari ambavyo vilifanikiwa kuchukua tukio zima.
Moja ya
vitu ambavyo vilivutia harusi hiyo ni pamoja na jinsi bwana harusi
Murray alivyokuwa amevaa jambo ambalo si rahisi kukutana nalo kwenye
harusi nyingi.
Hutopitwa na habari yoyote inayonifikia na niko tayari kukusogezea hapa hapa kumekuchablog
No comments:
Post a Comment