Ujumbe wa Bibi huyu kwa Rais Barack Obama…
Gertrude Weaver ameingia kwenye kitabu cha kumbukumbu dunia baada ya kuwa mtu mzee kuliko wote duniani kufuatia kifo cha mkongwe Misao Okawa aliyefariki jana ambaye alikuwa raia wa Japan.
Bibi huyo raia wa mji wa Arkansas, Uingereza ameingia kwenye orodha hiyo akiwa na miaka 116 na Julai 4 mwaka huu anatimiza miaka 117.
Mbali ya kuwa na umri mkubwa kuliko wote,Weaver ametoa ujumbe kwa rais wa Marekani Barack Obama
kuwa anamuomba aweze kuhudhuria kwenye siku yake ya kuzaliwa kwa sababu
alichangia kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Marekani kwa kumpigia kura
mara mbili.
Alizaliwa katika mji wa Arkansas mwaka 1898.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment