BASI LA NGANGA LATEKETEA KWA MOTO BAADA YA KUGONGANA NA FUSO
Basi la Nganga linalofanya safari kati ya Iringa na Kilombero limegongana uso kwa uso na fuso kisha magari hayo kuteketea kwa moto katika mlima wa Ruaha Mbuyuni kuelekea Morogoro.
Watu kadhaa wamepoteza maisha akiwemo dereva wa fuso hilo na wengine wamekufa kwa kuteketea na moto.
Ajali hyo imetokea leo
No comments:
Post a Comment