Nafasi nzuri kwa Luis Suarez baada ya ushindi wa jana dhidi ya PSG…
Barcelona ikiwa ugenini ilikua na kibarua dhidi ya PSG katika mchezo wa robo fainali ya kwanza katika uwanja wa Parc Des Princes uliopo Ufaransa.
Pamoja na kufikisha mabao hayo,
Barcelona inaendelea kubaki katika nafasi ya pili kwa kuwa Real Madrid
ndiyo inayoongoza kwa kuwa na mabao 1,016.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment