Marais 10 warefu zaidi duniani, Afrika wapo wawili
Lakini sikuwahi kufikiri kwamba kuna siku nitakutana na utafiti unaozungumzia urefu wa maraisi duniani.
Leo nakusogezea utafiti uliofanywa January 4, 2015 ambao unazungumzia marais 10 ambao ni warefu zaidi duniani:-
1. Filip Vujanovic
Papa Benedict xvi akiwa na Rais wa Montenegro ambaye ndiye rais mrefu kuliko wote duniani, ana urefu wa futi 6.5
3. Bashar Al- Assad
4. Stephen Harper
5. Toomas Hendrik Ilves
6. Paul Kagame
Kwa
Afrika huyu ndiye rais anayeongoza kwa urefu, lakini duniani anakamata
nafasi ya sita kwa futi 6.2 huku binti yake akimzidi kwa kuwa na futi
6.6
Barack Obama ni Rais wa Marekani, ana urefu wa futi 6.1 huku mke wake Michelle Obama akiwa na futi 5.11
Huyu ni Waziri mkuu wa Uingereza, urefu wake haujatofautiana na wa Rais Obama wa Marekani, wote wana futi 6.1
Huyu ni Rais wa Burkina Faso ambaye Oktoba mwaka jana aliamua kujiuzulu kutokana na machafuko nchini kwake, ana urefu wa futi 6
Hutopitwa na habari inayonifkia na niko tayari kukutumia muda na waktai wowote kupitia hapa hapa www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment