Bondia
Alen Kamote wa Tanga atapanda ulingoni mei 2 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga kukabiliana na Emilio Norfat katika mpambano wa raundi 12 mbali na
mpambano hilo pia kutakuwa na mapambano mengine.
mpambano wenye mvuto zaidi ni kati ya bondia mwenye makazi yake Mkoa wa
Morogoro Cosmas Cheka atakaekabiliana na Said Mundi kutoka Irringa.
Promota
wa mpambano huo Ally Mwazoa aliongeza kwa kusema mbali na mapambano hayo
kutakuwa na mapambano mengine yatakayowakutanisha Jacobo Maganga na
Fadhili Kea wakati Juma Mustafa akipamana na Ally Magoma huku Saimon
Zabroni akioneshana umwamba na Hamisi Mwakinyo na Jumanne Mohamed na Bakari Shendekwa na Zuber Kitandura na Rajabu Mahoja
No comments:
Post a Comment