SOKONI TANGAMANO
Wakazi
wa Tanga wakinunua bidhaa katika gulio la Tangamano leo, soko hilo ambalo ni la wiki mara tatu limekuwa likitumiliwa
na wajasiriamali wa mjini na vijijini kuuza bidhaa mbalimbali zikiwemo
kazi za mikono na kuuzwa
kwa jumla na rejareja.
No comments:
Post a Comment