Ripoti ya ajali za barabarani kuanzia January 2015.. April imetajwa kuongoza
Jana Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamanda Mohammed MPINGA ; “Watu
waliofariki kutokana na ajali hizi toka hiyo tarehe 11 mwezi wa tatu
hadi hilo tukio la tarehe 14 takribani mwezi mmoja tu wamefariki watu
103 na kujeruhi watu 38.. katika hao watu 103 wengi ni abiria.. sababu
kubwa ya ajali hizi ni makosa ya kibinadamu ambayo kwa kiasi kikubwa ni
uzembe wa dereva.“
“Mweni
January zimetokea ajali 823, February 641, March ni 32.. ukiangalia
idadi ya watu waliokufa kwa mwezi March ni kubwa ukilinganisha na idadi
ya ajali zilizotokea.“– Kamanda Mpinga.
No comments:
Post a Comment