BIASHARA KITUONI , MUHEZA TANGA
Wafanyabiasha maarufu kama wamachinga kituo kidogo cha
mabasi Muheza Tanga, wakitafuta wateja katika vioo vya madirisha ya gari,
wafanyabiasha hao mbali ya kuandaliwa utaratibu wa kuvaa sare na vitambulisho ili
kutambulika na kuepusha vibaka kujingiza katika kundi na kuwaibia wasafiri
lakini hawafanyi hivyo na kusababisha wasafiri kuibiwa na watu wanaojifanya
wafanyabiashara.
No comments:
Post a Comment