Huenda umeiona hii mitandaoni, inahusu ajali ya mashabiki wa Timu ya Simba..
Mwandishi wa Habari za michezo TZ na Mtangazaji wa show ya Sports Xtra @CloudsFM, Shaffih Dauda ameweka post kwenye ukurasa wake wa Instagram inahusisha ajali ya mashabiki wa timu ya Simba Sports Club; “Wanachama
wa tawi la mpira na maendeleo maarufu kama Simba Ukawa wamepata ajali
wakiwa njiani kuelekea mkoani shinyanga,Taarifa zaidi zitafuata…“– @shaffih
Naifuatilia kwa ukaribu hii mtu wangu, kaa karibu na tangakumekucha.blogspot.com, nitakachokipata nitakusogezea hapa hapa muda wowote.
No comments:
Post a Comment