Thursday, April 16, 2015

IMERUDIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

                          WATAZAMAJI WAPENDWA

Kwa majuma kadhaa mamia kwa mamia ya wapenzi na washabiki wa hadithi "NILIJUA NIMEUA" walikuwa wakipiga simu na kutuma ujumbe mfupi wa maneno ( message ) ya kujua hadithi ilipofikia  na kutaka kujua kutoonekana.

Hii ni kutokana na baadhi ya mitambo  na hivyo habari njema ni kuwa kesho itaanza kuonekana kila siku asubuhi na mapema.

Kutokana na hilo tangakumekucha inatoa kumradhi kwa wote ambao walikwazika kwa hali moja ama nyengi.

Ni hapa hapa www.tangakumekuchablogspot.com

No comments:

Post a Comment