Tuesday, April 14, 2015

MSIMAMO LIGI KUU TANZANIA BARA (VODACOM)

Msimamo wa Ligi Kuu TZ Bara, unajua timu yako iko nafasi ya ngapi mtu wangu? Cheki kinachoendelea hapa..

VODACOM PL
Ligi Kuu Tanzania Bara bado ni story ya uzito wa juu kwenye kurasa za MICHEZO TZ.. moja ya story zilizo kwenye kurasa za michezo leo ni ile inayosomeka hivi; “Pluijm: Nimebakiza mechi tatu kutangaza Ubingwa“– Hayo kayasema Kocha wa Yanga, unadhani yatatimia ??
Unaweza kucheki hapa mtu wangu, timu yako iko nafasi ya ngapi?
VODACOM PL
  Hutopitwa na habari yoyote  inayonifikia na niko tayari kukutumia muda wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment