Leo imetimia mwaka mmoja tangu wasichana 200 watekwe Nigeria, kilichoendelea Abuja kiko hapa (PICHAZ)
Leo Jumanne ya April 14 2015 watu
mbalimbali Nigeria wameandamana kimya kimya huku wakiwa wameziba midomo
katika jiji la Abuja pamoja na mabango yenye #BringBackOurGirls.. leo ni mwaka mmoja tangu wasichana 247 wa shule moja Chibok watekwe na kundi la Boko Haram huku wakiwa na mabango yenye ujumbe uliosomeka
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amesema
ingawa hawezi kuthibitisha kama wasichana hao wataweza kuokolewa lakini
Serikali itafanya kila njia kuhakikisha wasichana hao wanapatikana.
Hapa nina hizi PICHAZ ambazo zinaonesha maandamano hayo leo NIGERIA.
Hutopitwa na habari yoyote inayonifikia na niko tayari kukutumia muda wowote kupitia hapa hapa www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment