Imeripotiwa ajali nyingine ya Hiace Mbeya, Kamanda wa Polisi kathibitisha vifo vya watu
Haitoshi juzi tu tulishuhudia pia ajali ya mabasi mawili Ngorika na Ratco ambapo Ngorika ilikuwa ikitokea Dar es Saalm kuelekea Arusha na Ratco ilikuwa ikielekea Dar ikitokea Tanga ambapo iliripotiwa watu 13 walifariki akiwemo dereva wa Ngorika.
Imeripotiwa toka Tukuyu Mbeya leo, Hiace
ambayo ilikuwa imebeba abiria imepata ajali kwa kutumbukia mtoni,
Kamanda wa Polisi Mbeya, RPC Ahmed Msangi amethibitisha kwamba watu 19 wamefariki kutokana na ajali hiyo.
No comments:
Post a Comment