Lil Wayne ameshtakiwa na dereva wake, sababu kubwa ipo kwenye hii stori
Ameshitakiwa na dereva wake wa zamani kwa
kile alichosema ni kutishiwa kuuwawa tena na bunduki ikihusika, yaani
kisa kilitoka saa tano usiku anamuendesha Lil Wayne.
Dereva Mark Jones
anasema alikodishwa kumwendesha Lil Wayne na timu yake kwenye ziara ya
kimuziki mwaka 2014 na sasa kaamua kumshitaki Mahakamani.
No comments:
Post a Comment