Saturday, April 18, 2015

SOKONI NGAMIANI TANGA

 Wafanyabiashara wa mbogamboga soko kuu la Ngamiani Tanga wakisubiri wateja wa  njegere na kabichi. Kipindi hiki cha mvua bidhaa hizo zimeshuka bei baada ya wakulima kupeleka mazao yao kwa wingi katika masoko .Njegere kikopo kimoja kilikuwa kikiuzwa shilingi 500 na kabichi moja lililotayarishwa lilikuwa likiuzwa kwa shilingi 700.






No comments:

Post a Comment