Tuesday, April 14, 2015

TUNATOKA SHAMBANI

 Mkazi wa kijiji cha Baga kata ya Mtae Wilayani Lushoto Mkoani Tanga, Ashura Abrahman akitoka shamba, wakulima wa Lushoto wamekuwa wakitegemea kilimo cha Viazi, Nyanya na Kabichi  kama kilimo chao kikuu cha kuwaingizia  kipato .

 Mkazi wa kijiji cha Baga kata ya Mtae Wilayani Lushoto Mkoani Tanga, Salma Ally akitoka shamba , wakulima wa Lushoto wamekuwa wakitegemea kilimo cha Viazi, Nyanya na Kabichi kama kilimo chao kikuu cha kuwaingizia kipato.

 Mtoto mkazi wa kijiji cha Baga kata ya Mtae Wilayani Lushoto Mkoani Tanga, Juma Shetumba, akiwa amebeba kiroba cha Viazi kutoka shamba, wakazi wengi Wilayani humo wamekuwa wakitegemea kilimo cha Viazi, Nyanya na Kabichi kama kilimo chao kikuu cha kuwaingizia mapato.


No comments:

Post a Comment