Pale wivu wa mapenzi unaposababisha ugomvi Club
Siku moja mwanamke alienda club akiwa na
marafiki zake baada ya mume wake kumwambia yuko mbali, akiwa huko
akashangaa kutumiwa message na mtu asiyemjua na kuanza kumtongoza,
alipotoka nje akamuona mume wake akiwa na kijana mmoja alipofuatilia
akagundua mume wake alikuwa anamtuma jamaa huyo kama kumtego kuona kama
atamkubali jambo lililozua ugomvi mkubwa.
Hutopitwa na habari yoyote inayonifikia na nitakutumia kila inaponifikia kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment