BASI LA GAMET TRANS LAPATA AJALI, LEO
Basi la kampuni ya GAMET Trans linalofanyasafari zake Dar-Lindi-Masasi-Nachingwea limepata ajali maeneo ya Kibiti
Wilaya ya Rufiji-Utete Mkoa wa Pwani baada ya kutaka kumkwepa mtu
anayedaiwa kuwa na tatizo la ulemavu wa akili,lakini kwa bahati mbaya
likamgonga na kufariki papo hapo,taarifa zaidi zinaeleza kuwa baada ya
ajali hiyo basi hilo liliacha njia na kupinduka na kupelekea kifo cha
mtu mmoja aliyegongwa na wengine waliokuwemo ndani ya basi hilo .

Basi la kampuni ya GAMET Trans linalofanya safari zake Dar-Lindi-Masasi-Nachingwea likiwa limepinduka na majeruhi wa ajali hiyo wakipatiwa msaada na wasamaria wema.

Basi la kampuni ya GAMET Trans linalofanya safari zake Dar-Lindi-Masasi-Nachingwea likiwa limepinduka kama linavyonekana katika muonekano hapa.
No comments:
Post a Comment