Washabiki wa timu ya Azzam wakiishangilia timu yao jana uwanja wa Mkwakwani wakati wa ligi kuu Tanzania Bara na timu hizo kutoka uwanjani bila kufungana.
Mchezaji wa timu ya Azzam, Frank Dumayo akijaribu kupiga mpira lango la Mgambo jana wakati wa ligi kuu Tanzania Bra (Vodacom) uwanja wa Mkwakwani na tiomu hizo kutoka uwanjani bila kifungana.
Washabiki wa timu ya Mgambo JKT wakifuatilia mchezo na timu ya Azzam uwanja wa Mkwakwani jana na timu hizo kutoka suluhu.






No comments:
Post a Comment